CONNECTION

by System Admin
05 Jun 2020, 10:40:25

KUWA NA WIGO MDOGO WA KUUZA BIDHAA AU HUDUMA NA KUWA NA MAPATO KIDOGO KWA SABABU YA KUKOSA “CONNECTION”.

Je, una biashara, shughuli au huduma yoyote unayoifanya, iwe ni binafsi au kampuni ambayo inakuingizia kipato? Je ni watu wangapi wanaijua hiyo biashara au huduma yako? Jambo la ajabu ni kwamba siyo tu watu wa mbali, bali hata majirani zako hawajui kama unafanya hiyo biashara au huduma, jambo ambalo linafanya kipato chako kisiongezeke. Je unatumia njia gani kuitangaza biashara au huduma yako? Kwa namna moja au nyingine umekuwa ukitafuta sana utumie njia gani ili biashara yako iwe na umaarufu lakini bado ni kama unasukuma ukuta pamoja na kutumia gharama kubwa kufanya matangazo sehemu mbalimbali kwa sababu unawafikia watu wachache na mwitikio unakuwa mdogo sana. Hii ni kwa sababu huna “CONNECTION”.

KUNUNUA BIDHAA AU HUDUMA KWA BEI YA JUU SANA WAKATI KUNA ZA BEI NAFUU KWA SABABU YA KUKOSA “CONNECTION”.

Je unatafuta kununua bidhaa au huduma kwa bei nafuu lakin unaipata kwa bei ya juu sana? Yawezekana pia umekuwa ukitafuta kununua bidhaa au huduma mbalimbali lakini hujui utazipata wapi ambazo ni za bei nafuu jambo ambalo linapelekea kununua bidhaa kwa bei ya juu sana wakati kuna ya bei nafuu kwa sababu huna “CONNECTION”. Sasa “CONNECTION” imeleta ufumbuzi wa changamoto yako ambapo biashara au huduma yako itakuwa kwa kasi sana! “CONNECTION” kama neno lilivo  ni mtandao au muunganiko wa watu unaomwezesha muuzaji na mnunuzi wa bidhaa au huduma yoyote kupata urahisi wa kuuza au kununua kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya watu katika mtandao na yeye mwenyewe kuwa sehemu ya mtandao au muunganiko huo. Kwa kadiri watu wanavyozidi kujiunga ndivyo wigo wa biashara unavyozidi kuwa mkubwa katika kuuza na kununua.

“CONNECTION”  Inafanyeje kazi?

Jinsi “CONNECTION”  inavyofanya kazi ni rahisi sana: Hatua ya kwanza ni kujiunga kuwa member katika mtandao huu na baada ya hapo kama ni muuzaji unaruhusiwa kutuma matangazo yako kwa gharama nafuu sana na kuwafikia watu wengi kwa wakati mmoja  kwa njia ya sms ambayo imethibitika kuwa njia nzuri na ya haraka sana kufikisha matangazo. Unapotuma tangazo lako la biashara unaeleza kwa ufupi tangazo lako na maeneo gani (Tanzania nzima au baadhi ya mikoa au wilaya)  unakotaka tangazo lako litumwe,  na kutoa njia ya mawasiliano-simu, email, website au mitandao ya kijamii ili wateja waweze kuwasiliana na wewe. Kampuni baada ya kulihakiki tangazo italituma na baada ya tangazo lako kutumwa utaanza kupata mwitikio mkubwa sana watu wakitaka kununua bidhaa au huduma zako. Wakati huohuo na wewe utaweza kupokea matangazo kutoka kwa watu wengine ambayo pia inaweza kuwa fursa nzuri sana kwako kwa kununua bidhaa au huduma kwa bei nafuu. Siyo hivyo tu bali pia unaruhusiwa kupiga simu ofisini kuulizia bidhaa au huduma unayotaka kuuza au kununua na utapewa “CONNECTION”  yaani mawasiliano ( namba ya simu, email, website n.k) ya mhusika wa bidhaa au huduma. Kumbuka kujiunga “CONNECTION”  siyo kwa wauzaji wa bidhaa tu bali pia kwa wanunuzi ambao hawana hata biashara yoyote wanafaidika kwa kupata matangazo ya biashara au shughuli mbalimbali na kufanya maamuzi kununua bidhaa au huduma kwa bei nafuu kwani wanapata fursa ya kulinganisha bei na kuchagua bidhaa za bei nafuu. Biashara/huduma zote zinaruhusiwa kutangazwa kwenye “CONNECTION” isipokuwa huduma za DINI na SIASA.

UHUSIANO KATI YA IMEI COMMUNITY NA “CONNECTION”.

Huduma ya “CONNECTION” imeanzishwa mahususi kuwawezesha member wa IMEI COMMUNITY katika maisha ya kila siku kwa kukuza kipato wakati huo wakiendelea kujifunza usalama wa simu zao na mali nyingine

JINSI YA KUJIUNGA KUWA MEMBER WA IMEI COMMUNITY.

 Ada ya kuwa Member wa IMEI COMMUNITY ni Tsh 3,500 kwa mwaka. Jinsi ya kulipia:

TIGO-PESA na M-PESA :Kampuni No: 111555, Kumbuk: WIZIBASI.Kiasi:3,500. Kwa AIRTELMONEY: 5-lipia Bill,1-Lipia bidhaa,1-Lipa kwa SelcomPay, Kumbuk:60333051 WIZIBASI. Kiasi: 3,500. Utapigiwa simu ndani ya saa 24 (Kwa siku za kazi) kupewa maelekezo.

JINSI YA KUJIUNGA “CONNECTION”.

       Ada ya kupata “CONNECTION” ni Tsh 500 kwa mwezi. Jinsi ya kulipia:

TIGO-PESA na M-PESA :Kampuni No: 111555, Kumbuk: CONNECT .Kiasi:500. Kwa AIRTELMONEY: 5-lipia Bill,1-Lipia bidhaa,1-Lipa kwa SelcomPay, Kumbuk:60333051 CONNECT. Kiasi: 500 . Utatumiwa ujumbe wenye maelekezo ndani ya saa 24 (Kwa siku za Kazi).

BAADHI YA BIASHARA AU HUDUMA ZA KUTANGAZA KWA WENYE “CONNECTION”.

Elimu/Shule, Vichekesho (Comedy), Mitindo, Wasanii, Wanamuziki,Washauri wa ulipa kodi,Wakaguzi wa Nyumba,Wasambazaji wa bidhaa, Ushauri wa kutumia mitandao ya kijamii, Wamiliki wa akaunti maarufu wa mitandao ya kijamii, Uandishi wa wasifu (CV/Resume Writer), Mawakili (Lawyer), wahandisi (Engineers), Walezi wa watoto/Wasaidizi wa kazi (House Girl/Boy), Mafundi (Technician), Walimu, Katibu Muhtasi ( Secretarial) wapimaji wa viwango (Tester/Reviewer), Huduma za Internet (ISP), Huduma za mkongo (Fiber Optic), Kusafisha kapeti (Carpet Cleaning), Electronics, Ufanisi wa Tovuti (SEO specialists), Kuosha magari ( Car Wash), Msimamizi wa Muziki ( DJ), Mitandao ya mauzo (Affiliate Programs), Kutafsiri Lugha (Translator), Mipango ya Biashara (Business Plan), Usafiri na Utalii (Tourism & Travel Planning), Elimu ya Lishe (Diet/Meal Planning), Lugha ( Linguistic), Grocery, Vifaa vya upimaji (Test Tools), Usimamizi wa miradi (Project Management), Usalama wa kutumia intaneti (Internet Security Consultant), Duka (Any Shop), Uwasilishaji wa taarifa (Presentation Design Consultant), Uhariri wa insha (Essay Editor), Burudani ( Entertainment), Matengenezo ya vyombo vya moto (Garage/Car Service), Kuuza na kutengeneza Kompyuta (Computer sales & repair), Kuuza na kutengeneza simu (Mobile phone sales & Repair), Kuuza na kukodisha magari (Car sales &  hire), Ushauri wa kitaalamu (Consultancy), Ushonaji (Tailoring), Mauzo na manunuzi mtandaoni (E-commerce Store), Kilimo (Agriculture),Matangazo mtandaoni ( Content Marketing), Televisheni (TV show), Redio (Radio show), Kuuza na kununua Tovuti (Buying/Flipping Website & Domain), Uchumba na mahusiano (Relationship & Dating), Ukuzi wa wanyama wafugwao (House and Pet Sitting), Mafunzo ya Kompyuta (Computer Training), Kumbukumbu za Biashara (Accounts/Bookkeeping), Mahesabu ya Biashara (Professional Accountant/Auditor), Usanifu Majengo (Architecture), Msaidizi wa kazi (Personal/Virtual Assistant), Viwanda (Factory), Dereva wa Taxi (TAXI Driver), Dereva wa Bodaboda/Bajaji (Motorcycle/Three wheeler Driver), Mkulima (Farmer), Kuuza nafaka, Kuku, Mayai, Kusindika Nyama (Meat canners),Vito vya thamani (Gemstones & Jewelry), Utaalamu wa muziki( Music Instructor), Uchomeleaji ( Welding), Maji na usafi (Water and Sanitation) Mbogamboga na matunda (Fruits & Vegetables), Zima moto na uokoaji (Fire and Rescue), Kadi za salamu na mialiko (Greeting & Invitation Cards Design),Mabango ya Matangazo  (Billboards), Uokaji ( Bakery), Kurasa za Tovuti (Landing Page Specialist), Matangazo ya kazi ( Job Adverts), Ushauri matumizi ya fedha ( Financial Adviser), Kuuza samaki ( Fish monger), Uangalizi wa watoto (Babysitting), kufyonza taarifa mtandaoni (Streaming), Massage ( Massage therapy), Hosipitali ( Hospital), huduma za Chuo Kikuu (University), Channeli (YouTube Channel), Mipango ya harusi (Wedding Planner), Mshehereshaji -Master of Ceremony (MC), Vichekesho (Comedy), Stationery, Saloon, Huduma za kifedha kwa njia ya simu (Mobile Money), Rufaa, Samani (Furniture), Hotel/Guest house and bar, Nyumba na Viwanja (Real Estate), Mshauri (Life Mentor), Urembo (Modeling), Hadith za mahusiano (Writing Erotic Stories), Uchambuzi wa taarifa (Data Analysis), Kufua nguo (Laundry/Cleaning), Mawasiliano (Telecommunication), Ubunifu/Uchoraji ( Graphics design),Urembo wa nyumba ( Interior Design), Magazeti (Newspaper),Udalali (Commission Sales/Broker), Ushiriki wa mitaji (Capital Ventures), Ushauri wa Biashara (Business Consulting), Uhandishi na haki miliki (Writing & Copywriting), Maintenance Contractor, Vifaa vya majumbani (Home appliance), Stationeries, Vitabu, App developer, Mazoezi ya mwili (Gym Trainer), Kutengeneza Tovuti (Website design), Vifaa/huduma za Kilimo (Agribusiness), Kupangisha ofisi (Office Rent), Ulinzi (Security Guard), Huduma kwa wateja (Customer care), Kusafisha nyumba (House Cleaning), Menu za Migahawa (Restaurant/Menu planning), Shule za awali (Kindergarten/Home day Care), Msala (Lavatories), Uhandishi/utangazaji (Desktop Publisher),Usanifu wa aridhi (Land Survey), Kuingiza na kutoa bidhaa nje (Imports/Exports), Meli (Ship/Boat), Vipuri (Spare parts), Kuhifadhi bidhaa (Packing/Boxing), Ufufuzi/matengenezo (Refurbishing), Mpishi binafi ( Personal Chef), , Masomo ya ziada (Tuition Teacher),  Wakala wa ajira (Employment Agency),Mipango ya matukio ( Event Planner), Manunuzi mtandaoni (EBay/Amazon reselling), Vitabu vya kielectroniki ( eBook), Matangazo ya Instagram (Instagram Marketing),Famasia na Dawa ( Pharmacy), Soko la hisa (Stock Exchange), Matangazo mtandaoni ( Google Paid Ads Specialist), Bustani (Lawn care and Gardening),  Huduma za benki (Banking), kuongoza watalii (Tour Guide), Mikopo (Loan facilities), Picha za video (Video Shooting), Mpiga picha ( Camera Man), Blog (Blogging), Uchambuzi wa Tovuti (Web Analytics), Ugavi na uhifadhi (Procurement, Logistics & Warehouse), Fundi baisikeli (Bicycle repair), Kontrakta wa ujenzi (Building Contractor), Mtu wa kuishi naye (Home Companion), Mhariri (Editor), kusafirisha vifurushi (Goods delivery), Fundi umeme ( Electrician), Fundi sanifu (Artisan), Fundi Dish na TV (Telecommunication Technician), Uhifadhi wa taka (Waste Management), Kuuza nyama (Butchery), Nywele na urembo (Hairdressing & Makeup), Mahabara (Laboratory), Ofisi ya Matengenezo (Workshop), Utafiti (Research), Nguo na Viatu (Shoes & Clothing), Chakula na vinywaji ( Catering), Mafunzo ya mbwa (Dog Groomer/Trainer),Kutoa huduma kwa njia ya simu (Call Center), Machinga (Door to Door sales), Usafirishaji (Transportation). Hizi ni baadhi tu ya huduma/biashara japo unaweza kutaja majina mengi kulingana na asili ya biashara/huduma yako..

VIGEZO NA MASHARTI:

1.Ukipata “CONNECTION”  uwe tayari kupokea matangazo kutoka “CONNECTION”  

2. Mtuma TANGAZO ndio mmiliki wa TANGAZO (You are solely responsible for Advert content).

        Kujitoa kwenye “CONNECTION”  Tuma neno NITOE kwenda 0769333354 Tumia namba ileile uliyotumia kulipia ada ya kiingilio. Kumbuka ukijitoa  hutaweza kutuma tena wala kupokea matangazo kwa sababu hutakuwa na“CONNECTION”.

Kujifunza:Tovuti: https://imeicommunity.com/blog/connection;Facebook:@IMEICommunity; Instagram: imei_community; au tuma neno CONNECTION kwenda 0742555397 au kwenda 0746999936. Au piga 0746999936.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini:

INTENT TECHNOLOGIES LTD, KINONDONI RD, ACACIA ESTATE OFFICES, PLOT 84, FIRST FLOOR (JIRANI NA OFISI ZA DSTV). PANDA DALADALA ZA MAKUMBUSHO/STESHENI- POSTA, OMBA MSAADA DSTV. AU PIGA 0769333354.