IMEI COMMUNITY-CONNECTION- AJIRA TOSHA!

by System Admin
05 Jun 2020, 09:10:19

IMEI COMMUNITY-CONNECTION- AJIRA TOSHA!

Jiunge kuwa member wa IMEI COMMUNITY-CONNECTION upate kipato cha ziada wakati ukiendelea na shughuli zako za kila siku. Bila CONNECTION mambo hayaendi!

Leta wateja wanunue bidhaa  zetu  kama vile CCTV camera, laptop, Spy camera, flush disk, GPS tracker na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu sana  na upate kamisheni kubwa. Nunua bidhaa yoyote moja tu au zaidi kama utapenda katika bidhaa zetu nyingi zilizopo na uanze kupata kamisheni kwa kuwaleta marafiki zako.

            KUSIFIA BIDHAA ZETU NDIYO AJIRA YAKO

Ukiwa kama mfano kwa kununua na kutumia bidhaa zetu basi msemo huu unakuhusu: "Aisifiaye mvua, imemnyea". Waambie marafiki zako kuhusu ubora, uzuri na unafuu wa bei za  bidhaa zetu baada ya wewe kuzinunua na kuzitumia. Wakiamini ushuhuda wako basi waelekeze waje kununua ofisini wenyewe au unaweza kuwanunulia na kuwapelekea kama utaona ni vyema japo siyo lazima. Rafiki yako naye pia atapewa  CONNECTION CODE ili naye alete marafiki wengine apate kamisheni kama wewe.  Sehemu nyingine nyingi unaweza kununua bidhaa na ukaipenda na kuwaambia marafiki zako kisha nao wakaenda wakanunua hiyo bidhaa lakin wewe hupati kitu japo umehusika kuwa sehemu ya matangazo ya biashara ya hao wauzaji. Huduma ya IMEI COMMUNITY-CONNECTION inaongeza mahusiano kati ya muuzaji (IMEI COMMUNITY) na mnunuzi ambapo mnunuzi anapata kamisheni kwa kufanya matangazo ya mdomo kwa kusifia bidhaa kwa marafiki zake ambao nao pia huja kununua bidhaa hiyo. Mfano unaweza kununua spy camera na ikakusaidia kukamata wezi nyumbani kwako au kazini au kwenye biashara yako hivyo ukaweza kuwaambia marafiki zako njia ya gharama nafuu ya kukamata wezi kwa kutumia spy kamera wakati huo ukiwa unajua kuwa watakaponunua spy camera na wao watazuia wizi lakin wakati huohuo unajua utapata kamisheni mara tu watakaponunua spy camera kwa ushuhuda wako. Hii inakutia hamasa kuona kwamba na wewe unakuwa sehemu ya kampuni kwa kushiriki katika kufanya matangazo na kupata kamisheni nzuri ya kukusaidia kuongeza kipato na kupunguza gharama za maisha.

                      JINSI YA KUPATA KAMISHENI

Kila bidhaa inayonunuliwa na rafiki yako uliyemwelekeza unapata kamisheni ya asilimia kumi (10%) ya thamani ya bidhaa. Mfano rafiki yako akinunua spy kamera moja ya Tshs 150,000 unapata Tshs 15,000. Akinunua GPS tracker ya Tshs 200,000 unapata Tshs 20,000. Akinunua flush disk (Memory stick) ya Tshs 15,000 unapata Tshs 1,500. Akinunua laptop ya Tshs 300,000 unapata Tshs 30,000 n.k. Mfano kwa siku moja marafiki zako wakinunua kamera kumi za Tshs 100,000 kila moja basi unaweza kupata kamisheni ya Tshs 100,000 kwa siku moja tu! Speed yako ndiyo utajiri wako. Kazi yako ni rahisi sana, yaani kuongea na marafiki zako kuhusu uzuri wa bidhaa zetu na kuwaelekeza waje wenyewe ofisini kununua bidhaa na wakinunua unapata kamisheni yako wakati huo unaendelea na shughuli zako nyingine za maisha kama kawaida. Unaruhusiwa kuwaleta/kuwaelekeza marafiki wengi kadiri uwezavyo, hakuna kikomo. Kumbuka kuna tofauti kati ya member wa IMEI COMMUNITY (Tshs 3,500 kwa mwaka: Hakuna kamisheni) na member wa IMEI COMMUNITY-CONNECTION (Tshs 5,000 kwa mwaka-Kuna kamisheni). Ukishapata CONNECTION CODE unakuwa moja kwamoja member wa IMEI COMMUNITY hivyo unastahili huduma zote kama memba wengine wa IMEI COMMUNITY wa kawaida kama vile kujifunza elimu ya IMEI COMMUNITY kuhusu usalama wa mali zako, mfano kuhifadhi namba tambulishi za mali zako: Simu, laptop, n.k, kutangaza mali zako kwenye mtandao wa IMEI COMMUNITY endapo zitaibiwa n.k.

                 JINSI YA KUPATA CONNECTION

 Jinsi ya kupata CONNECTION: MPESA na TIGOPESA, kiasi Tshs 5,000 kwa mwaka, Namba ya Kampuni 111555,  Kumbukumbu: CONNECTION. Utapigiwa simu kwa maelekezo zaidi kisha utatumiwa CONNECTION CODE ambayo unaweza kuitumia kununua bidhaa yoyote moja wapo kwa kuanzia kisha unaweza kuanza kuwaalika marafiki zako kununua bidhaa na kuanza kupata kamisheni. Kumbuka bidhaa za IMEI CIMMUNITY zinapatikana kwa bei nafuu sana kuliko sehemu nyingine yoyote hivyo huwezi kuzipata bila CONNECTION, yaani lazima uwe na CODE ya mtu aliyekuelekeza. Hii inatusaidia kuhakiki na kutoa kamisheni kwa watu sahihi kulingana na bidii yao ya kutangaza bidhaa zetu.

 HATUA TATU MUHIMU ILI KUANZA KUPATA KAMISHENI

1.      Jiunge kuwa member wa IMEI COMMUNITY-CONNECTION ili upewe CONNECTION CODE

2.      Nunua bidhaa yoyote angalau moja ili CODE yako ianze kufanya kazi (CODE Activation)

3.      Mlete/mwelekeze rafiki yako anunue bidhaa uanze kupata kamisheni kwa kutumia CONNECTION CODE

Kwa mawasiliano zaidi tuma SMS yenye neno CONNECTION kwenda 0742555397 au Piga: 0769333346 au 0746999936 au +255222198031/32.

AU FIKA OFISINI : BARABARA YA KINONDONI MAKABURINI (JIRANI NA DSTV),  PANDA DALADALA ZA MAKUMBUSHO POSTA/STESHENI, OMBA MSAADA DSTV, ULIZA JENGO LA ACACIA ESTATE OFFICES, , PLT No. 84, DAR ES SALAAM, INTENT TECHNOLOGIES LTD (IMEI COMMUNITY), FIRST FLOOR, Website: imeicommunity.com

 IMEI COMMUNITY-CONNECTION- AJIRA TOSHA!