JINSI YA KULIPA KIINGILIO MITANDAO YOTE KWA SELCOM

by System Admin
04 Jul 2020, 04:26:50

IMEI COMMUNITY-JINSI YA KULIPA KIINGILIO MITANDAO YOTE KWA SELCOM-    MASTERPASS.

       AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5-lipia Bill.
 • Chagua 1-Lipia bidhaa.
 • Chagua 1-Lipa kwa SelcomPay/Masterpss.
 • Ingiza kiasi 3,500.
 • Ingiza namba ya kumbukumbu: 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza namba ya siri (PIN).
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.

      TIGO-PESA

 • Piga *150*01#
 • Chagua 7-Huduma za Kifedha
 • Chagua 6-Selcom Pay
 • Ingiza namba ya malipo: 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza Kiasi 3,500
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.

      M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4-Lipa kwa M-pesa
 • Chagua 4-Ingiza namba ya kampuni
 • Ingiza 123123
 • Ingiza namba ya kumbukumbu: 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza Kiasi 3,500
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.

      HALO-PESA

 • Piga *150*88#
 • Chagua 5-Lipa Bidhaa
 • Chagua 3- SelcomPay/Masterpass
 • Ingiza namba ya malipo: 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza Kiasi 3,500
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.

      EZYPESA

 • Piga *150*02#
 • Chagua 5-Malipo
 • Chagua 1- Lipa Hapa
 • Chagua 2-Lipa kwa Masterpass QR
 • Ingiza namba ya mfanyabiashara: 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza Kiasi 3,500
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.

      T-PESA

 • Piga *150*71#
 • Chagua 6-Lipa Bidhaa
 • Chagua 2- SelcomPay/Masterpass
 • Ingiza namba ya malipo: 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza Kiasi 3,500
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.

      SELCOM CARD

 • Piga *150*50#
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Chagua 2- SelcomPay/Masterpass
 • Ingiza PayNumber): 60333051 WIZIBASI
 • Ingiza Kiasi 3,500
 • Tafadhali thibitisha malipo kwa kuingiza 1
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka SELCOM/IMEI COMMUNITY.