SIRI YA KUPATA SIMU YAKO ENDAPO ITAIBIWA

by System Admin
05 Jun 2020, 09:21:48

IMEI COMMUNITY-SIRI YA KUIPATA SIMU YAKO ENDAPO ITAIBIWA-JINSI YA KULIPA KIINGILIO (Tsh 1,000) MITANDAO YOTE KWA SELCOM-MASTERPASS.

     AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5-lipia Bill.
 • Chagua 1-Lipia bidhaa.
 • Chagua 1-Lipa kwa SelcomPay/Masterpass.
 • Ingiza kiasi 1,000.
 • Ingiza namba ya kumbukumbu: 60333051 SIMU
 • Ingiza namba ya siri (PIN).
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo na SIRI ya uwezekano wa kuipata simu yako endapo itaibiwa.

      TIGO-PESA

 • Piga *150*01#
 • Chagua 7-Huduma za Kifedha
 • Chagua 6-Selcom Pay
 • Ingiza namba ya malipo: 60333051 SIMU
 • Ingiza Kiasi 1,000
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo na SIRI ya uwezekano wa kuipata simu yako endapo itaibiwa.

M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4-Lipa kwa M-pesa
 • Chagua 4-Ingiza namba ya kampuni
 • Ingiza 123123
 • Ingiza namba ya kumbukumbu: 60333051 SIMU
 • Ingiza Kiasi 1,000
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo na SIRI ya uwezekano wa kuipata simu yako endapo itaibiwa.

HALO-PESA

 • Piga *150*88#
 • Chagua 5-Lipa Bidhaa
 • Chagua 3- SelcomPay/Masterpass
 • Ingiza namba ya malipo: 60333051 SIMU
 • Ingiza Kiasi 1,000
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo na SIRI ya uwezekano wa kuipata simu yako endapo itaibiwa.

      EZYPESA

 • Piga *150*02#
 • Chagua 5-Malipo
 • Chagua 1- Lipa Hapa
 • Chagua 2-Lipa kwa Masterpass QR
 • Ingiza namba ya mfanyabiashara: 60333051 SIMU
 • Ingiza Kiasi 1,000
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo na SIRI ya uwezekano wa kuipata simu yako endapo itaibiwa.

T-PESA

 • Piga *150*71#
 • Chagua 6-Lipa Bidhaa
 • Chagua 2- SelcomPay/Masterpass
 • Ingiza namba ya malipo: 60333051 SIMU
 • Ingiza Kiasi 1,000
 • Ingiza namba ya siri (PIN)
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo na SIRI ya uwezekano wa kuipata simu yako endapo itaibiwa.