FAQ

 Una Maswali? Tuna Majibu

Fanya usajili na baada ya hapo tangaza kuwa  mali imeibiwa. Inaweza kutokea kwamba wakati unapojaribu kujiandikisha mali yako unaweza kupata iko tayari imesajiliwa na mtu mwingine. Katika kesi hiyo unapaswa kuwasiliana na IMEIC katika support@imeicommunity.com na utoe ushahidi wote wa umiliki. IMEIC itaanzisha jukwaa la majadiliano kati ya wawili kwa ajili ya muafaka na ikiwa hakuna muafaka utakaofikiwa unaweza kuanzisha madai ya kisheria dhidi ya mwanachama huyo aliyesajiliwa kama taarifa zake zote ziko katika database ya IMEIC. Kumbuka kuwa kwa mashtaka yoyote ya kisheria, IMEIC haitakuwa sehemu ya mashtaka hayo wala haitasimama kama shahidi kama hatujui mmiliki wa kweli.

Haya maswali na majibu hayajitoshelezi bado,tunakuomba uulize maswali zaidi  here  (hapa) na tutajitaidi kujibu ipasavyowe