Register today, be a member of IMEI Community and increase chances of getting back your stolen/lost properties. Mobile phone, laptop, motorcycle, three-wheeler/scooter, car, etc
Do not sell, buy or use stolen/lost properties! Check status of your property before you are arrested! Mobile phone, laptop, motorcycle, three-wheeler/scooter, car, etc.
We are glad to inform you that we have made some development to add new features with effect from 4th Nov 2018, if you cant login please call +255742555397 for Support.

         

                 Kuhusu IMEI Community

                 IMEI COMMUNITY (IMEIC) ni jumuiya ya kimataifa kwa wamiliki wa simu  za mkononi

                kwa ajili yakuwahudumia maslahi yao na inatekelezwa na kusimamiwa na INTENT TECHNOLOGIES LTD.

                IMEI   ni International Mobile Equipment Identity ambayo inabainisha   kipekee simu yoyote ya mkononi.

                Malengo mawili ya kuanzisha IMEIC ni kupambana na wizi wa simu na matumizi ya simu za bandia ulimwenguni                       

                pamoja na kuwezesha upatikanaji wa vitu vilivyoibiwa/vilivyopotea kwa wamiliki kwa kutumia serial namba ya

                kifaa husika. Vitu vingine ambavyo  huzingatiwa pia   ni; Laptops,pikipiki, gurudumu tatu,magari,TV, n.k.


Recent blog

VACANCY: IT Specialist

VACANCY: IT Specialist

ComTrack

ComTrack- Simu, Bodaboda, Bajaji, Gari n.k

CONNECTION

TAFUTA “CONNECTION” UNUNUE BIDHAA AU HUDUMA KWA BEI NAFUU. TAFUTA “CONNECTION” UPATE SOKO KUBWA KUUZA BIDHAA AU HUDUMA YAKO