Mobile Registration

Jinsi ya kupata Serial numberWi-Fi na Anwani za  MAC za Bluetooth ; (anwani inaonekana kama E8: 3A: 11: 84: 2D: 8C).

Kwa usajili futa Dots zote (.), Colons (:), hyphens (-) na usiache nafasi (e.g. E83A11842D8C).

Hakikisha icon ya Bluetooth na WiFi zimewashwa

iPhone

  1. Chagua SettingsGeneralAbout.
  2.  Wi-Fi MAC Address, Bluetooth MAC Address, na Serial number zimeorodheshwa chini ya ukurasa. Hakikisha icon ya Bluetooth na WiFi zimewashwa

Android

  1. Kutoka kwenye Home page ,bonyeza Menu.
  2. Chagua Settings.
  3. Sukuma kioo kwa juu, kisha chagua About phone au About device
  4. Chagua Status.
  5. Chagua  na sukuma juu kuona Wi-Fi MAC Address, Bluetooth MAC Address na serial number. Hakikisha icon ya Bluetooth na WiFi zimewashwa